Monday 30 December 2013

PROF. MWANDOSYA ASHEREHEKEA KUMBUKUMBU YAKE YA KUZALIWA


Profesa Mwandosya Leo Tarehe 30 Desemba anasherehekea Kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Prof. mwandosya alipongezwa na watoto na wajuku zake kwa kukata keki pamoja na mjukuu wake huko Nyumbani kwake Kijijini Lufilyo.
Blog ya PATAPICHA inamtakia Maisha marefu yenye heri na fanaka Profesa Mwandosya 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako