Monday 23 December 2013

KAMPUNI YA SAMSUNG YATOA ZAWADI YA GARI ILIYOJAA BIDHAA ZA SAMSUNG LEO HII MLIMANI CITY

Mshindi wa Shindano la Pambika na SAMSUNG kulia mwenye shati nyeupe akiwa teyari kukabidhiwa funguo za gari aliloshinda TOYOTA DOUBLE CIBIN na Meneja Mauzo na Masoko Mr Slyvester Manyara
Mr Slyvester kushoto akimkabidhi funguo za gari mshindi wa Pambika na Samsung Bwana Juma Musa Ramadhani mkazi wa Tabata aliyojishindia kwa kununua bidhaa za Samsung.
Hapo Mshindi akiwasha gari yake tayari kwenda kufurahia nyumbani na familia yake ambayo alikwisha wataarifu mara baada ya kupokea simu ya ushindi Pongezi kwake Bwana Juma Musa
 Wawezeshaji wakubwa wa SHINDANO LA PAMBIKA NA SAMSUNG wakiwa na furaha mara baada ya Kumkabidhi mshindi wa GARI NA BIDHAA NYINGINE ZA SAMSUNG, kama vile friji, tablets, tv, camera, laptop na washing mashine
Gari la Mshindi wa Pambika likiwa teyari limefikishwa katika himaya yake ya biashara maeneo ya Tabata

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako