Tuesday 3 December 2013

MR. FLAVOR AMSHIRIKISHA MSHINDI WA BBA 2013 KWENYE VIDEO YAKE


Msanii Flavour amemshirikisha mshindi wa shindano la BBA The Chase 2013 Dillish Mathew katika video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la Ikwokrikwo.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa utengenezaji wa video hiyo ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako