Tuesday 31 December 2013

PICHA ZA VIDEO YA NAY WA MITEGO "NAKULA UJANA"

Hizi ni baadhi ya picha zinazopatikana kwenye video ya Msanii wa Hiphop Nay wa Mitego 
Video Hiyo itaachiwa leo usiku wa kuamkia mwaka mpya saa 6:01 kaa tayari kuitizama hapa hapa kwenye Blog yako uipendayo
 Pia kama utakuwa mbali na Mtandao wa Internet icheki kwenye television yako ya DTV itarushwa Live Mwaka mpya ukiingia itakuwa ndio Video ya kwanza kwenda hewani kwa mwaka wa 2014
Kaa tayari kuitizama Blog ya PATAPICHA kama imeielewa sana Video hii

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako