Saturday 7 December 2013

DIAMOND ABURUDISHA BIRTHDAY PARTY YA K-LYNE


Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam.
Party hii ilikuwa ni ya aina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi pale namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada ya kutizama show kali ya Diamond

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako