Monday 23 December 2013

DWAYNE WADE AMCHUMBIA GABRIELLE UNION


Baada ya kuwa katika mahusiano ya muda mrefu, Mcheza kikapu wa timu ya Miami Heat, Dwayne Wade(31) ameamua kuweka mambo hadharani baada ya kumchumbia mchumba wake Gabrielle Union(41) ambaye ni muigizaji maarufu wa HollyWood Marekani..
Wade aliamua kuwafahamisha mashabiki wake kuhusiana na kinachoendelea baada ya kuposti picha kupitia mtandao wa Instagram na kuongezea maneno yaliyosomeka “She said YES!!!” halikadhalika na mchumba wake huyo alitupia picha kupitia mtandao huo na kuweka maneno yaliyosomeka “Sooooo this happened… #Yessss” 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako