DAI AKIWA NA BAD GAL BABY MADAHA |
Halikuwa kama ni biffu lakini sasa ni utata cheki mdada Baby Madaha
alipotoa shit zake kwa Platnumzzz
Baby alianza
kwa kusema
“….Kwanza nitafute kiki kwa diamond
kwa lipi,wakati anakuja kuniomba kuperfom 2010 akiwa ana single moja ya mbagala
pale maisha plus mimi nikiwa judge na kina masoud,tayari nilishafanya album ya
amore India na nishapiga show kibao,wakati yeye akifikiria amkamate demu gani
ili a hit kimuziki mimi tayari nishafanya movie tatu na moja imeshinda
ziff tz na ziff berlin,akiendelea kuwapanda kama farasi hao wajinga wajinga
wenzie mie tayari nina tuzo tatu ziff ambazo hata marehemu kanumba angefurahi
kupata japo moja(rip)….”
“…..Wakati sasa anaongea blah blah
akiwa na single yake moja mpya akihangaika kwenda nigeria kuonyesha skin tight
yake ya mistari na kuomba omba collarbo, mi tayari nina single tatu hit na
najiandaa kushusha movie kali mpya,tatizo ni kutotaka kukosolewa na kujiona
mungu mtu kwenye muziki lakini ukweli anaujua na hata yeye anauogopa kama
anabisha afanye nao collarbo anahangaika nini na wote wanaimba bongo
flava??upuuzi na ujanja ujanja tu wa mjini unafanyika huku wale punda wake
wakikubali kumbeba kwa malipo gani umaarufu???mi sijautafuta kwa nguvu hiyo,
nimepikwa bss na watu wakaniona na wakanitambua.Kama ni suala la pesa hata
asiongee launching yangu ya (kempinsky)hyatt regency 2010 hakuna msanii yeyote
wa bongo flava including na yeye ameweza kufanya jeuri hiyo,aliyejaribu labda
yule demu wake wa zamani aliyemshit pia kwa vihela vyake mbuzi…”
“….Akiwa bado anastruggle kupata
mkwanja awatishe tishe watoto wenzake wa tandale..mimi nishazindua brandy yangu
ya manukato na gift bagz zangu ambazo zinaingia sokoni rasmi 31 december…bado
anachanja na prado old model,asogee kwenye audi tt yangu apunge upepo yani ye
anatafutaa..mi nishapata so wa nini???wanaompapatikia ni wale drama queens
wenzie, mi ama bad gul sijali kama kumchana namchana tu so wat??,scandal kitu
gani?ye sukari guru ata survive si tandale bwana eeh, vipi wale kwenye list za
kubadilishwa kama nguo za ndani je watapata wa kuwaoa???/… wakija forbes hapa
watu wataumbuka ooh na hekalu langu kuubwa unakaaje kwenye nyumba ya
kupanga?haliishi??hahahaha na kuhusu ati mimi nimesema ana paja la mtoto wapi
na wapi he is not ma type at all si hook na little mama’s boy na hook up na big
boys tu…”
“…. Mi sio wale farasi zake
wanaopokezana kupandwa na yeye after role kuambiwa ukweli sio bif kweli mzinzi
na hajui kuimba kama sio kweli atulie tu asipande pande hapo tutamwona mfalme
kweli kama mzee yussuf,mimi naimba aina yangu ya muziki tanzania nzima nipo
peke yangu hakuna demu anapiga riddim,ragga sasa natafutaje keeck kwa bongo
flava????anaeimba nyimbo zake za kipuuzi kutaja taja farasi wake ana (tusi kali
sana) angekuwa ameni***** sawa but mpaka anakufa i think atakuwa ananiota mimi
na lulu……….kama mbwai mbwai mjini hapa kila nyumba ina namba..adios…”
No More comments! Hayo ndo mabishano
ya mjini
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako