Tuesday 10 December 2013

AJALI MBAYA YA BASI YATOKEA HANDENI TANGA,12 WAFARIKI 55 MAJERUHI

Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni, watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako