Saturday 7 December 2013

HAYA HAYA MAMBO YAMEIVA SASA KESHO NDIO KESHO

Lile tamasha Kubwa kabisa la Injili ndani ya Dar es Salaam limeiva.
Kesho ndio kesho pale viwanja vya ustawi wa Jamii ambapo waimbaji zaidi ya 50 wa nyimbo za injili watawaburudisha waumini wa dini na wapenda Amani na upendo hap Nchini.
SIDHANI KAMA UNAPASWA KUKOSA HII.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako