Monday 23 December 2013

MAONYESHO YA TAMADUNI ZA CHINA KATIKA CHUO KIKUU CHA KIISLAM MOROGORO YAFANA

MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO (MUM) ni moja miongoni mwa vyuo vitatu nchini Tanzania ambavyo vimeanzisha degree program ya lugha ya Kichina.
CONFUCIUS INSTITUTE OF CHINA ndio walioshirikiana na uongozi wa chuo Kikuu cha kiislam Morogoro kuweza kuanzisha program hiyo ya kichina Chuoni hapo.
Leo hii tarehe 22/12/2013 kulikuwa na maonyesho ya tamaduni mbali mbali za kichina ambazo ziliandaliwa na kuonyeshwa na timu nzima ya walimu wa Kichina wakishirikiana na wenyeji wao ili kufanikisha tukio hilo ambalo kwa China hufanyika mwezi desemba katika kipindi cha baridi.

 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako