Monday 30 December 2013

MSANII WA YAKUZA MOB APATA MTOTO SIKU YA X-MAS


Msanii wa kundi la Yakuza Mobb Mbwana ambaye pia ni Meneja wa Club maarufu Kigamboni CLUB KAKALA siku ya tarehe 25 mungu alimjalia kupata mtoto wa kiume.
 
Kwa kuwa ilikuwa haraka haraka na furaha aliyokuwa nayo aliniambia mtoto anaitwa Junior Mbwana.
Msanii mwenzake wa kundi hilo Jilla ambaye pia ni Meneja wa Club Kubwa hapa Dar es Salaam MAISHA CLUB, alifanikiwa kwenda kumsalimia siku hiyo baada ya kupata mtoto huyo wa kiume.
Jilla "THE BOSS" aliongozana na Dereva wa Entertainment Masters na Maisha Club bila Kuisahau DTV anayejulikana kwa jina la Tony Mnyama. 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako