Monday 23 December 2013

KASEBA AMPIGA ALI BABA KWA K.NOCK OUT RAUNDI YA 4

 
Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar, Kaseba alishinda kwa KO ya raundi ya nne ya mpambano huu
Bondia Pendo Njau kushoto akiwa na bondia Llulu Kayage wakati wa mpambano huo
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point 
Bondia Omari Nampekecha 'peche boy' kushoto akipambana na hasani Kiware wakati wa mpambano huo nampekecha alishinda kwa pointi
Kanda kabongo akimuhuumia Japhert Kaseba
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point
Mashabiki wa Mchezo wa Ndondi wakiangalia mpambano

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako