Sunday 15 December 2013

PICHA ZA MAZISHI KIJIJINI KWA MZEE MANDELA "QUNU"

Mhe. Dkt. Kikwete ni mmoja kati ya Viongozi wanaohudhuria mazishi ya Mzee Mandela huko Afrika ya Kusini kwenye kijiji alichotoka Mandela "QUNU"
Hema la Shughuli nzima ya mazishi likiwa na Viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa pamoja na Wanandugu wa karibu wa familia ya Mzee mandela
Mweledi wa Picha za Mnato Issa Michuzi yupo huko kututumia picha za matukio mbalimbali yanayoendelea kwenye mazishi ya Mzee Mandela 
SOURCE: MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako