Sunday 29 December 2013

JINSI VIDEO YA MRS. SUPERSTAR INAVYO-SHOTIWA


Young Killer akiwa Location  akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Super Star.
Audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.

Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake  walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako