Saturday 7 December 2013

CHADEMA KIGOMA WAANDAMANA KUUMPINGA DKT. SLAA

Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoani Kigoma wameandamana leo hii kupinga ujio wa Mgombea uraisi kupitia chama hicho Dokta Wilbroad Slaa.
Wanachama hao wameandamana wakipinga kuviliwa vyeo kvya Mbunge wao wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Kabwe.
 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako