Friday 13 December 2013

WATU 6 WAFUKIWA NA KIFUSI NA KUFARIKI DUNIA MKOANI KILIMANJARO

Fuso lenye namba za usajili T 167 AQG walilokuwemo marehemu wakati wakijaza Moramu likiwa limefukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita 
Wananchi wakijitahidi kutoa miili ya marehemu waliofukiwa na kifusi 
Uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa Mkoa Bwana Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la uokoaji wa miili ya watu hao 
Umati wa wananchi ukishuhudia zoezi la uokoaji wa miili ya watu hao waliofukiwa na kifusi mchana wa leo Kilimanjaro

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako