Monday 2 September 2013

YALIYOJIRI UZINDUZI WA FOOLISH AGE YA LULU

   
 UZINDUZI wa filamu ya Foolish age ya mwigizaji bora wa kike kwa 2012/13 Elizabeth Michael umefana na kufanikiwa baada ya mashabiki na wapenzi wa filamu kufurika katika ukumbi wa Mlimani City.


Lulu kafanya maajabu baada ya kuimba wimbo wa msanii Lady Jay D na hata kutaka kumfunika mwenye wimbo kama unakuwa nje ungejua ni JD anaimba.
 
Utaletewa kila kitu kwa ndani baadaye ngoja tukupe uhondo wa Mlimani City kwa staili ya kipekee kabla ya kukumwagia mengine.
Wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa Filamu hiyo ya Lulu iitwayo FOOLISH AGE

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako