Monday 2 September 2013

TYRESE ALALAMIKIWA MATUMIZI YA MTOTO

 
Mwanamuziki Tyrese amempa mtoto wake (Shayla) zawadi zenye gharama kubwa sana siku ya kuadhimisha miaka mitano (5) ya kuzaliwa kwake, mbele ya umati wa watu zaidi ya 500.
Tyrese alikuwepo kwenye party hiyo pamoja na mtalaka wake, huku akimsihi baba huyo wa mtoto kuongeza fedha za matumizi za kila mwezi kwa mtoto huyo.
Shayla alipokea zawadi zaidi ya 200, huku baba yake (Tyrese) aliahidi kumlipia gharama zote za shule binafsi atakayoanza kusoma.
Pia ameahidi kumnunulia nguo mpya, viatu vipya na vitu vingine vya muhimu pamoja na kuwa naye karibu misimu yote ya sikukuu.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako