Sunday 1 September 2013

JUSTIN BEIBER AVAMIWA NDANI YA CLUB TORONTO

 
Justin Bieber ameripotiwa kuvamiwa ijumaa usiku ndani ya ukumbi wa starehe za usiku (nightclub) ya Toronto mtandao wa TMZ umeripoti
Tukio hilo lilitokea Majira ya saa 9 usiku wakati mburudishaji huyo mwenye umri wa miaka 19 akitoka nje ya eneo la watu mashuhuri (VIP) na kuingia kwenye eneo la watu wengine, ndipo ghafla kijana mmoja akamvamia ila walinzi walifanikiwa kumzuia asimdhuru Justine Beiber bila kuwahusisha polisi
 
Beiber aliyekuwa kavaa cheni nyingi za dhahabu zenye gharama shingoni na mikononi, ndizo zilizomvutia kijana aliyetaka kumvamia, ila alishindwa kutimiza adhima yake baada ya walinzi kumzuia asimfikie Beiber kasha wakambeba mzobe mzobe na kumtoa nje ya ukumbi huo.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako