Monday 9 September 2013

MTANGAZAJI WA FOX MICHEZO AFUKUZWA KAZI KWA KUPINGA USHOGA


 
Mtangazaji wa vipindi cha michezo FOX amefukuzwa kazi kwa kutoa maoni yanayopinga ushoga Kusini Mashariki mwa Uingereza.
Craig James aliyekuwa mmoja wa waanzilishi wa klabu ya wanamichezo Uingereza kwenye miaka ya 80 pia aliwahi kugombea nafasi ya uakilishi(Senate) wa jimbo la Texas
Mwaka 2012 wakati wa kampeni alitoa mapendekezo kuhusu mashoga, “watajibu kwa Bwana kuhusiana na matendo yao, maana matendo ya ushoga ni uamuzi wa hiari”
 
James alipewa ajira mwezi uliopita na kipindi cah FOX Michezo na baadae kufukuzwa baada ya kuonekana mara moja tu.
Kutokana na taarifa za Habari ya asubuhi kwenye kituo cha Dallas, wameripoti kufukuzwa kwa mtangazaji wa Fox Michezo na kutoa maoni “tunajiuliza wenyewe inakuwaje kauli ya Craig’s ikachukuliwa kwa namna tofauti hivyo”

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako