Thursday 19 September 2013

MGODI MPYA KUTOKA ECT


MGODI MWINGINE kutoka EASTCOST huu hapa .....Cjamoker a.k.a 4nce B. Ni mtayarishaji wa muziki (producer) na muimbaji pia,ambaye alishawaiproduce wasanii nyimbo kama Aghibadnce ya chibwa, Nafurahije ya Gosby, Kimbunga, Bashment time ya Deddy n.k....Sasa hivi anafanya vizuri na wimbo wake unaoitwa MOVE ON ambao amemshilikisha Gosby na pia hivi karibuni akiwa chini ya EAST COAST ameachia kichupa kinachoitwa U MAKE ME FEEL,jamaa anauwezo kwa kuwa anaweza kutayarisha muziki mwenyewe na pia anaweza kuimba na kuchana kama ukicheki kwenye move on ameimba kama rnb na U make me feel amechana. Cjamoker ni producer wa E.C.T akishilikiana na Effector ambapo mpaka sasa kuna kazi kibao zinakuja watu wakae tayari kwa ujio wa E.C.T kwa kuwa wapo sawa sana

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako