Sunday 8 September 2013

MICHAEL JORDAN A-DANKI AKIWA NA MIAKA 50

 

Gwiji na Mchawi wa Mchezo wa Kikapu, Michael Jordan aliudhihirishia umati wa wanafunzi, chuo cha California-Santa Barbara uchawi wake katika mchezo huo baada ya kupiga Danki akiwa na umri wa miaka 50.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako