Friday 6 September 2013

LISA JENSEN APATA MTOTO WA KIKE

Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu za Kibongo Lisa Jensen amejifungua mtoto wa kike.
 
Lisa amepost picha ya mtoto wake kwenye mtandao wa instagram leo huku watu wengi wakimpongeza kwa kujifungua mtoto mzuri.
 
Post ambayo aliituma kwenye account yake ya Instagram
‘Mashallah congrats much much...n God bless katoto… My my my! What a cute lil lady. Congratulations dearie to you and hubby….Congratulations to you guys!! What a precious baby.’

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako