Monday 9 September 2013

TAMASHA LA TUPO WANGAPI LAFANA

 
Msanii SNURA "mamaa wa Majanga" akivurugwa juu ya Steji wakati wa Tamasha la "Tupo Wangapi" Tamasha hilo linahamasisha jamii kuachana na mtandao wa Ngono, Tamasha limeandaliwa na TACAIDS katika viwanja vya Leaders 

  
H BABA mkali wa Steji "Bingwa wa Mauno jukwaani" akiwapa Burudani wananchi waliofika katika Tamasha la "Tupo Wangapi" Tamasha hilo linahamasisha jamii kuachana na mtandao wa Ngono, Tamasha limeandaliwa na TACAIDS katika viwanja vya Leaders
 
Diamond Platinium akiwapagawisha wananchi wakati wa Tamasha la "Tupo Wangapi" Tamasha hilo linahamasisha jamii kuachana na mtandao wa Ngono, Tamasha limeandaliwa na TACAIDS katika viwanja vya Leaders

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako