Friday 22 November 2013

WIMBO WA MONSTER WAANZA KUSHOTIWA VIDEO


Rapper Eminem na Rihanna wameanza shooting ya video yao mpya ya Monster, Wimbo huu umeshatoka na umeanza kufanya vizuri kwenye radio na mitandaoni kabla ya video kukamilika.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako