Monday 4 November 2013

JIJI LINALOONGOZA KWA ULIMAJI WA MAJANI (BANGI)



MKOA wa Arusha umebainika kuwa ndio unaongoza kwa kilimo cha (majani)bangi ambayo imekuwa ikisafirishwa sehem mbalimbali.
Akizungumzia ishu hiyo wakati wa uteketezaji wa mashamba ya bangi wilayani Arumeru jijini Arusha, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alikemea vikali juu ya ustawishaji wa mmea huo huku akisisitiza kula sahani moja na wahusika.

Kamanda huyo aliwataka raia wema kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mara moja wanapogundua uhalifu wa aina hiyo na mwingine wowote.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako