Wednesday 20 November 2013

DIAMOND AKANUSHA KUWA NA SHOW UBELGIJI DESEMBA 7


 
Kuna Matangazo yanaendelea Kuwa eti 
Tarehe 07/12/2013 nina show mjini Brussels Belgium... taarifa hizo ni za uongo, SI ZAKWELI!!!... Sina Mkataba wala Makubaliano
 na yoyote ya kuwa na Show huko tareh hiyo... Hivyo my Lovely Fans toka Brussels na nchi za jirani msije kuhudhuria maana Sintokuwepo......!

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako