Saturday 2 November 2013

MTOTO AMVAMIA NA KUMKUMBATIA PAPA FRANCIS


 
Mtoto shujaa amemvamia Papa Francis wakati akisoma hotuba kwa maelfu ya waumini waliojaa katika viwanja vya St. Peter
Mtoto huyo alikuwa kati ya waalikwa zaidi ya elfu 80, walioalikwa kusikiliza hotuba ya kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani.
Mara baada ya kumkumbatia alishikwa na furaha na kuanza kucheza huku akiondoka eneo la tukio, huku Papa Francis akiwa ametulia asifanye lolote kwa mtoto huyo.

Kuona hivyo Mtoto akanogewa akapanda kwenye kiti anachokaa Papa na kuweka pozi kasha akatosheka na kuondoka eneo hilo kurudi kwa wasikilizaji.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako