Thursday 21 November 2013

MABESTE NAYE AJITOA B'HITS, ATOA SABABU


Baada ya Vannesa kutamka wazi ya kuwa hayupo tena chini ya uongozi wa B Hits msanii Mabeste naye afuata nyayo hizo, za kuiacha team ya b'hits.
Msanii wa Hip Hop nchini aliwaacha mashabiki wake midomo wazi na wengine kutaka kujua ni nini kimetokea sasa Mabeste amefunguka hapa na kusema
"Tatizo ni maelewano ya kibiashara kati ya mimi na uwongozi wa B"hits na si vinginevyo.....!! Akuna mtu ambaye hapendi kuona faida kwenye kazi yake...!! Na kwa sababu music ni kazi ...Baaasi nimejaribu kutetea kazi yangu...!! Pamoja saana"
hayo ni maneno ambayo Mabeste ameyaandika kupitia mtandao wa Kijamii

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako