Monday 4 November 2013

HII NDIO SABABU KUBWA YAKUSAIDIWA HUDUMA NA MWENZIO

Wanawake wengi wanaposema mwanaume Anajali kwa mwanamke Wanamaanisha anasimamia show muhimu kama';
-kumtoa out,
hela za lace wig,
mavazi,
vizawadi vya hapa na pale,
perfume na macosmetics kibao na mambo kibwena...
Sasa wewe mwanaume mwenzangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji mwanamke kuanzia asubuhi had ucku,
Mara bebi umekunywa chai?
Umevaa nini?
Bebi umesh
akula lunch?
beb umelala?
beb mbona kimya?

Wenzio wanaojali wanatuma hela Mpesa, Tigopesa, airtelmoney, Then msg inafuata
,;''beby nenda kale'',
kwa style hii ukichapiwa demu yako kuwa mpole kama umepata division 5 vile.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako