Tuesday 26 November 2013

STEVE RnB AMVISHA MPENZIWE PETE YA UCHUMBA


Mwanamuziki anayefanya vizuri katika muziki wa RnB Nchini Tanzania, aliyeimba nyimbo mbalimbali ikiwemo Jambo Jambo "Steve RnB" ameamua kumvalisha rafiki yake wa kike wa muda mrefu pete ya uchumba.
Zoezi hilo lilifanyika nyumbani huku ndugu na jamaa wa karibu wa karibu tu ndio waliopata nafasi ya kushuhudia tukio hilo.
Maelezo kutoka kwa watu wa karibu wa Steve RnB wanasema kuwa, mapenzi kati ya steve na huyu mrembo yameanza muda mrefu sana hadi kufikia hatua ya  kufukuzwa shule pamoja.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako