Saturday 2 November 2013

BIRTHDAY PARTY YA LYNE CHARLES @ NYUMBANI LOUNGE & MAISHA CLUB

 
Wadau na Wafanyakazi wa Dar Television - DTV wakifuatilia tukio la Birthday ya Lyne Charles @ Nyumbani Lounge( Kutoka kushoto ni Emmanuel Edward-Cameraman & Producer, malika J. Nginilla-Chief Editor, Yarseen Omar-Editor, Peter Mndalila-Producer & Presenter, Seiph Said- Social Network)
Mtoto Lyne Charles akiwa na rafiki yake ndani ya Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge
Mtoto Lyne Charles aki-show love na wafanyakazi wenzake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge
Mtoto Lyne Charles aki-show love na wafanyakazi wenzake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge
Mtoto Lyne Charles aki-show love na rafiki zake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge
Baadhi ya Wafanyakazi wa DTV ndani ya Sherehe ya Birthday ya Lyne Charles Jana usiku Nyumbani Lounge
Mtoto Lyne Charles aki-show love na rafiki zake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge 
Mtoto Lyne Charles aki-show love na rafiki zake waliohudhuria kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge 
Rafiki zake Lyne Charles wakiwa wameweka Pozi Nyumbani Lounge kwenye Sherehe ya Birthday ya Lyne Charles Jana usiku 
Mtoto Lyne Charles akitambulishwa na kuimbiwa wimbo wa Happy birthday na Machozi Bendi Jana usiku Nyumbani Lounge 
Mtoto Lyne Charles akijadili jinsi ya kukata keki na rafiki zake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge 
Mtoto Lyne Charles akikata keki kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge  
Mtoto Lyne Charles aki-show love na rafiki zake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge 
Mtoto Lyne Charles akimlisha keki rafiki yake kwenye Sherehe ya Birthday yake Jana usiku Nyumbani Lounge 
Kazi ikahamia New Maisha Club, Mtoto Lyne Charles akiserebuka na rafiki zake kwenye dancing Flow ya V.I.ME
Mzungu Mnyama kama kawa alikuwepo kwenye Drums akiwapa burudani mashabiki ndani ya New Maisha Club
DVJ Majizo For Shizo a.k.a Adui alikamata mashine kumpa ladha shabiki aliyekuwepo Kwenye Birthday ya Lyne Charles New Maisha Club 
V.I.ME ilivyopendeza jana ndani ya Birthday Party ya Mtoto Lyne Charles 
MUNGU AKUPE MIAKA MINGI NA YA KUTOSHA KUWEZA KUFIKIA MALENGO YAKO MTOTO LYNE CHARLES HAPPY BIRTHDAY 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako