Friday 8 November 2013

MUM KUFANYA MAHAFALI YA SITA CHUONI HAPO


CHUO Kikuu Cha Waislam Cha Morogoro kinatarajia kufanya Mahafali ya sita ya chuo hicho tarehe 9 Novemba tangu kuanzishwa kwake.
  Ikiwa teyari maandalizi yanaendelea huku kukiwa na changamoto mbali mbali kupitia mtandao huu utaweza kupata kile kinachoendelea kwenye mahafali haya ya Sita na namna vijana watakapokuwa na furaha ya kutunukiwa shahada ya kwanza.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako