Sunday 24 November 2013

SNURA MUSHI AFIWA NA KAKA YAKE


Mwanadada Snura Mushi a.k.a mamaa Majanga leo amepata msiba, baada ya kufiwa na kaka wake wa Damu.
Habari kutoka kwa Meneja wake zinataarifu kuhusu msiba huo ambao umempa huzuni kubwa mwanamuziki wake huyo.
habari zaidi kuhusu mazishi na utaratibu mzima zitawajia kadri zitakavyopatikana.
MUNGU AILAZE MAHALA PEMA ROHO YA MAREHEMU.
PATAPICHA TUPO PAMOJA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MAJONZI, NA TUNAKUTAKIA MUNGU AKUPE MOYO WA UVUMILIVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU KWAKO SNURA PAMOJA NA NDUGU, JAMAA NA RAFIKI.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako