Thursday 21 November 2013

MTOTO WA WILL SMITH (JADEN SMITH) MAPENZI MOTO MOTO NA MDOGO WAKE KIM KARASHIAN


Katika hali isiyotarajiwa mdogo wa SuperStar Kim Kardashian ajulikanaye kwa jina la Kylie Jenner ameonekana sehemu mbalimbali akiwa karibu na mtoto wa Will Smith aitwaye Jaden Smith.
Wawili hao wameonekana ndani ya duka la Vito vya thamani (SONARA) wakivalishana mkufu wa dhahabu kimahaba baada ya kuununua kwenye sonara hiyo kisha katika tkio jingine walionekana wakiendeleza mahaba yao barabarani hadi wapita njia wakawa wanaduwaa  kwa vitendo vyao.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako