Baraza
la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata
wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.
Kabla
ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo
ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui,
Uzuri wako yake JUX, Nimevurugwa yake Sunra wa Majanga na Tema mate tuwachape
yake Madee
Kuna
hizi Zingine ambazo ni
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI –
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI –
Tubonge
ya Jose Chameleone,
Nakupenda
pia ya Wyre na Alaine,
Badilisha ya Jose Chameleone,
Kipepeo ya Jaguar,
Kiboko
changu ya Amani, Weasal na Radio.
WIMBO BORA WA TAARAB –
Wasiwasi wako wa Mzee Yusufu,
Asie kujua
hakuthamini Isha na Saida Ramadhani,
Nipe stara Rahima Machupa,
Sitaki shari
Leila Rashid,
Fahari ya mwanamke ya Khadija Kopa,
Mambo bado Khadija Yusufu,
Kila muomba Mungu ya Mwanahawa Ally.
WIMBO
BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru,
Sexy Lady ya Dr. Jahson,
My
sweet ya Jettyman Dizano,
Feel alright ya Lucky Stone na
Wine ya Princess
Delyla.
WIMBO
BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA –
Muziki gani ya Ney wa Mitego ft Diamond,
Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J,
Kidela ya Ally Kiba na Abdu Kiba,
Bila
kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na Tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins.
RAPA
BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo,
Chokoraa,
Ferguson,
Canal Top na
Totoo ze
bingwa.
MTUMBUIZAJI
BORA WA KIKE WA MUZIKI –
Khadija kopa, Vanessa Mdee,
Isha Ramadhani, Luiza
Mbutu,
Catherine (Cindy)
MTAYARISHAJI
BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB –
Enrico,
Ababuu mwana wa Zanzibar na
Bakunde.
MTAYARISHAJI
BORA WA NYIMBO WA MWAKA (BENDI) –
Allan Mapigo,
C9 Kanjenje,
Enrico,
Amoroso na
Ababuu
mwana wa Zanzibar.
WIMBO
BORA WA REGGAE –
Niwe nawe ya Dabo,
Hakuna matata ya Lonka,
Tell me ya Dj Aron
ft Fidempha,
Bado nahitaji ya Chikaka ft Bless P & Lazzy B, Bongo reggae ya
Warriors from the east.
WIMBO
BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA –
Kwejaga nyangisha ya Batarokota,
Nalonji ya Kumpeneka,
Bora mchawi Dar bongo massive,
Tumbo lamsokota ya
Ashimba,
Aliponji ya Wanakijiji na
Agwemwana ya Cocodo african music band
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako