Wednesday 12 March 2014

RADIO MPYA 93.7 YAJA NI ZAIDI YA HABARI YA MUJINI (NI SHIDA)

Muonekano wa Radio ya Kisasa Mpya inayomilikiwa na Kampuni iliyobobea kwenye masuala ya burudani hapa Nchini, Entertainment Masters (waendeshaji wa DTV na Maisha Club zote nchini)
 
Dj Maarufu Dj Choka akijaribu matangazo katika studio hiyo mpya ya E-Fm na katika maneno aliyofanikiwa kuongea ni kwamba imekuja sio tu kufunika bali kuleta msiba hapa mjini!!!!
 
Raia kutoka Nje ya nchi ya Tanzania akiweka mambo sawa pembeni akiwepo Dj maarufu mjini, Dj Skit.
  Habari ya mjiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako