Friday 7 March 2014

OMMY DIMPOZ AWACHEZESHA CHELSEA 'TUPOGO'

Mchezaji wa timu ya vijana wa Chelsea, Mtanzania Adam Nditi amempa shavu mwanamuziki Ommy Dimpoz baada ya kuwafundisha wachezaji wenzie kuucheza wimbo wa ‘TUPOGO’

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako