Wednesday 12 March 2014

DIAMOND AKICHEKI MJENGO WAKE

Star wa Muziki wa Kizazi kipya, Naseeb Abdul aendelea kufanya kweli kwenye ujenzi wa Mjengo wake.
Jumapili Hii alikwenda kutembelea na kuangalia ujenzi jinsi unavyoendelea na ku-post baadhi ya picha kwenye mitandao ya kijamii pamoja na kutuma kwa wamiliki mbalimbali wa Blogs hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako