Monday 3 March 2014

PONGEZI ZA SIKU YA KUZALIWA KWA BINTI HUSNA NURDIN

Bi Husna nurdin kulia akifurahi na rafiki zake wa karibu
Pata Picha inampa Pongezi za dhati Bi Husna Nurdin kwa siku ya leo njema yenye furaha kwake kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mpaka leo amekuwa kweli tunasema maisha safari
Mungu akubariki sana mwanangu na akulinde kwa kila baya 
PATA PICHA TEAM Inakupa Big Uppp sana na ufike ofisini kuchukua zawadi yako

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako