Thursday 13 March 2014

SITTA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mbunge wa CCM Samwel Sitta jana Jioni alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Katiba kwa kura 487 kati ya kura 576 zilizopigwa.
Mgombea mwengine katika mchuano huo Mhe. Hashim Rungwe alipata kura 69 na kura 7 ziliharibika

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako