Wednesday 19 March 2014

MAKOCHA NA WACHEZAJI WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA



Jarida linaloheshimika kwa kiasi katika ulimwengu wa soka duniani ‘France Football’ wiki hii limechapisha listi ya wachezaji na makocha 20 wanaolipwa fedha nyingi ndani ya msimu mmoja (Miezi 12 iliyopita)
Mapato ya wanasoka hao yamejumuishwa kutoka kwenye mishahara yao, na mikataba mbalimbali waliyonayo ya kibishara pamoja na bonasi wanazopata.

WACHEZAJI WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
1.Lionel Messi – €41m
2.Cristiano Ronaldo – €39.5m
3.Neymar – €29m
4.Wayne Rooney – €24m
5.Zlatan Ibrahimovic – €23.5m
6.Radamel Falcao – €21.2m
7.Sergio Aguero – €19.7m
8.Thiago Silva – €17m
9.Eden Hazard – €16.8m
10.                Franck Ribery – €16.5m
11.                Fernando Torres – €16.2m
12.                Yaya Touré – €16m
13.                David Silva – €15.5m
14.                Gareth Bale – €14.5m
15.                Bastian Schweinsteiger – €14.5m
16.                Luis Suarez – €14.2m
17.                Mario Gotze – €13.9m
18.                Philip Lahm – €13m
19.                Gianluigi Buffon €12.9m
20.                Blaise Matuidi €12.9m
MAKOCHA WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
1.Jose Mourinho – €17m
2.Pep Guardiola – €15m
3.Roberto Mancini – €14m
4.Carlo Ancelotti – €13.5m
5.Fabio Capello – €12m
6.Marcelo Lippi – €11.5m
7.Arsene Wenger – €9.6m
8.Roberto Di Matteo – €8.2m
9.Andre Villas-Boas – €6.9m
10.                Rafael Benitez – €6.8m
11.                Luciano Spalletti – €6.5m
12.                Jurgen Klopp – €6.5m
13.                David Moyes – €6.4m
14.                Manuel Pellegrini – €6.4m
15.                Walter Mazzarri €6.1m
16.                Gerardo Martino – €5.4m
17.                Antonio Conte – €5.4m
18.                Claudio Ranieri – €5.2m
19.                Laurent Blanc – €4.2m
20.                Jorge Jesus – €4m
*Villa-Boas na Di Matteo wanaonekana kushika nafasi nzuri kwenye listi kwa sababu bado wanalipwa mishahara yao na Chelsea pamoja na Tottenham baada ya vilabu hivyo kuwavunjia mikataba yao

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako