Monday 17 March 2014

HII NDYO SAUTI YA WANYONGE TANZANIA VIJANA WENYE VIPAJI KAZI KWENU…. SIKU ZINAHESABIKA..!


Kaa tayari kwa radio hii mpya 93.7 FM kwa wakazi wa Dar es Salaam na vitongozi vyake, jina la radio hii litawajia siku za karibuni ila kwa hivi sasa unaweza kufungulia ukasikia mangoma makali tu yakiwa hewani.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako