Thursday 13 March 2014

SUMA MNAZARETI APATA MTOTO WA KIKE

 
Msanii mwenye mbwembwe nyingi katika Tasnia ya Muziki wa Bongoflava, Suma Mnazareti amefanikiwa kuitwa baba baada ya mpenzi wake kujifungua mtoto wa kike
 
Suma Mnazareti ame-post picha ya mtoto wake akiwa amebebwa na Mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii


No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako