
Katika Nchi zenye utajiri mkubwa na mazingira mazuri ya kuishi, mojawapo ni Dubai ambayo ina viitu vingi vya ziada.

January 2014 kupitia Dubai 1 TV, serikali ya nchi hii imetangaza kuweka AC kwenye vituo vyote vya basi ili kusaidia wasafiri mbalimbali kwenye kipindi cha majira ya joto, kipindi ambacho kinasifika kwa joto kubwa








No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako