Monday 10 February 2014

VALENTINE DAY 2GETHER PART


MITAA FLANI ENT & X-PRO DJs .... present ......VALENTINE DAY 2GETHER PART
Ni usiku Wa wapendanao huku ukiambatana Na Show kadhaa Toka kwa Dancers Wakali... Pia kutakuwa na zawadi za kutosha kwa Watakao Tupia Mavazi ya ki VALENTINE... Hile ukingia tu unakanyaga kwenye Red Carpet Hii inakuhusu Ww na Umpendae.....!!!!!! Jipangeeeee......!!!!???
14-02-2014 FRIDAY@ Ako La Bamba Club 
Sinza URAFIKI
Kwa kingilio cha 6000/= tu mlangoni 
// Don't Miss it —

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako