Sunday 2 February 2014

NAIBU WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA ABOOD MEDIA

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia  akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Abood Media wakiongozwa na Abeid Dogoli (Maneja), David Benjamin, Dinary Mhina, Farida Mkolla, Yahya Limangwe, Chriss Mathew, Vumilia Kondo, Hilda Singano, Khamis Kihangal, Shijja, na Mbunge wa Morogoro Mjini ambaye pia ndiye mmiliki wa kituo hicho Mhe. Abdulaziz Abood
Mbunge wa Morogoro Mjini ambaye pia ndiye mmiliki wa kituo hicho Mhe. Abdulaziz Abood akiwa na Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Juma Nkamia akiagana na Mbunge wa Morogoro Mjini ambaye pia ndiye mmiliki wa kituo hicho Mhe. Abdulaziz Abood pembeni ni Meneja wa Abood media Abeid Dogoli 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako