Wednesday 12 February 2014

DIAMOND KUJA NA MAVAZI YAKE (WCB)

Mkali wa Bongoflava, kipenzi cha Mabinti, Naseeb Abdul a.k.a DIamond kuja na mavazi yenye nembo ya WCB hivi karibu.
Diamond anatarajiwa kuyazindua mavazi hayo na kuyauza kwenye maduka yajke binafsi baada ya kumaliza maandalizi ya kuyatengeneza huko Nchini China baada ya kwenda kufanya onyesho kadhaa na kupata mawazo hayo ya kuwa na mavazi yake
Akitoa fununu kwa mhariri wa PATAPICHA, Diamond kasema muda si mrefu wapenzi wake wakae tayari kuyapokea mavazi hayo yatakayokuwa na ubora wa hali ya juu

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako