Monday 10 February 2014

WAVUNJA REKODI YA KUWA NA MATRON NA BESTMEN WENGI


Harusi iliyofugwa hivi karibuni kati ya Nisansala na Nalin imeingia katika kitabu cha kumbukumbu cha GUINNESS WORLD RECORD kwa kuwa Harusi yenye wasindikizaji wengi kuliko zote zilizowahi kutokea duniani.
Harusi hiyo iliyofungwa Kilometa 30 Kaskazini mwa Nchi ya Colombo ilikuwa na wapambe 184, (washika maua 23, ma-bestmen 25 wavulana wasindikizaji 23 na ma-matron 126)
Mwanzo historia ilikuwa inashikiliwa na maharusi kutoka Bangkok ambayo ilisimamiwa na wasindikizwaji 96 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako