![]() |
| Mkuu wa majenshi mstaafu Generali Sarakikya akiwa katika halfa ya kukabidhi Rasimu ya pili ya Katibu iliyofanyika jana Karimjee |
Tuesday, 31 December 2013
PICHA YA KUFUNGIA MWAKA - NIMEIPENDA
KUAPISHWA KWA IGP NA NAIBU WAKE LEO JIONI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini.
![]() |
Rais Jakaya mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Jioni
|
![]() |
Rais Jakaya mrisho Kikwete, katika picha ya pamoja na Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu na naibu wake Naibu IGP Afande Abdulrahman Kanini katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam jioni hii
|
![]() |
Rais Jakaya mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu Inspekta Generali wa polisi (IGP) Mpya Afande Abdulrahman Kaniki katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Leo Jioni
|
![]() |
Rais Jakaya mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na IGP mstaaafu Afande Said Mwema pamoja na Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest mangu na naibu wake Naibu IGP Afande Abdulrahman Kanini katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo jioni
|
![]() |
Rais Jakaya mrisho Kikwete, Makamu wa Raisi Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Mawaziri na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest mangu na naibu wake Naibu IGP Afande Abdulrahman Kanini katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam jioni hii
|
![]() |
Rais Jakaya mrisho Kikwete, Makamu wa Raisi Dkt. Mohamed Ghalib Bilali na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest mangu na naibu wake Naibu IGP Afande Abdulrahman Kanini katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
|
PICHA ZA VIDEO YA NAY WA MITEGO "NAKULA UJANA"






Kaa tayari kuitizama Blog ya PATAPICHA kama imeielewa sana Video hii
Monday, 30 December 2013
PROF. MWANDOSYA ASHEREHEKEA KUMBUKUMBU YAKE YA KUZALIWA

Profesa Mwandosya Leo Tarehe 30 Desemba anasherehekea Kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Prof. mwandosya alipongezwa na watoto na wajuku zake kwa kukata keki pamoja na mjukuu wake huko Nyumbani kwake Kijijini Lufilyo.

Blog ya PATAPICHA inamtakia Maisha marefu yenye heri na fanaka Profesa Mwandosya
MSANII WA YAKUZA MOB APATA MTOTO SIKU YA X-MAS

Msanii wa kundi la Yakuza Mobb Mbwana ambaye pia ni Meneja wa Club maarufu Kigamboni CLUB KAKALA siku ya tarehe 25 mungu alimjalia kupata mtoto wa kiume.
Kwa kuwa ilikuwa haraka haraka na furaha aliyokuwa nayo aliniambia mtoto anaitwa Junior Mbwana.

Msanii mwenzake wa kundi hilo Jilla ambaye pia ni Meneja wa Club Kubwa hapa Dar es Salaam MAISHA CLUB, alifanikiwa kwenda kumsalimia siku hiyo baada ya kupata mtoto huyo wa kiume.

Jilla "THE BOSS" aliongozana na Dereva wa Entertainment Masters na Maisha Club bila Kuisahau DTV anayejulikana kwa jina la Tony Mnyama.
Sunday, 29 December 2013
JINSI VIDEO YA MRS. SUPERSTAR INAVYO-SHOTIWA

Young Killer akiwa Location akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Super Star.
Audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.

Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.







CBM PREZZO AMLIPA JAGGUAR KWENYE SUALA LA USAFIRI




Unaambiwa wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha gari lake jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda kufanya show.

Zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo wa Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na ngazi za kupandia jukwaani.
Friday, 27 December 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)












